LYRICS: Alikiba – Niteke ft. BlaQ Diamond

Alikiba – Niteke Ft. Blaq Diamond

Alikiba Niteke ft. BlaQ Diamond Mp3 Lyrics

(Yogo on the Beats)

Hivi unaniendesha
Mapenzi yanakupa power
Eh, nipatie intentions
Siruki ushanivunja mbawa

Eh eh
Umenigea dozi eh
Umezidisha dozi eh
Nimetepeta dawa majozi eh
Dawa majozi eh, ni gospel life

Umenigea dozi eh
Umenipa dozi eh
Nimetepeta dawa majozi eh
Dawa majozi eh, lets have good life

Niteke uwe na mimi, niteke uwe na mimi
Niteke uwe na mimi, na mimi, na mimi am here
Niteke uwe na mimi, niteke uwe na mimi love
Niteke uwe na mimi, na mimi

[Blaq Diamond]

DOWNLOAD Mp3